Wasiliana nasi Leo kwa ajili ya huduma bora za afya
Tuko tayari kukuhudumia kwa weledi na ujuzi mkubwa
Majumba Saba-Tandahimba, Mtwara, Tanzania
+255 699 738 261
|
+255 658 538 261
+255 699 738 261
email ni : luiloamani61@gmail.com
Huduma 24/7
Siku zote za mwaka
Kituo cha Afya Amani kiko Tandahimba, Kitongoji cha Kota Majumba Saba, Mtwara
Maelekezo: Kutoka kituo cha mji wa Tandahimba, endea barabara kuu kuelekea Kitongoji cha Kota Majumba Saba. Kituo cha Afya Amani kiko katika eneo la Majumba Saba, kilomita 2-3 kutoka kituo cha mji wa Tandahimba.
Tupo tayari kukusaidia masaa yote ya siku na usiku. Piga simu sasa.
Jiunge nasi kwenye mitandao ya kijamii kupata taarifa za hivi punde