Jengo la Kituo

Karibu Kituo cha Afya Amani

Tunatoa huduma bora za afya kwa wakazi wa Tandahimba, Newala, Nanyamba, Masasi, Mtwara vijijini na maeneo ya nchi jirani ya Msumbiji kwa weledi na ujuzi mkubwa gharama nafuu.

Tunajivunia ukarimu kwa wateja na wagonjwa wetu

Njia za Kuingia

Mazingira Salama

Kituo chetu kina mazingira tulivu na salama kwa ajili ya uponyaji haraka.

Mazingira Nzuri

Wataalamu Wenye Weledi

Timu yetu ina madaktari na wauguzi wenye uzoefu mkubwa na mafunzo ya kisasa.

Chumba cha Upasuaji

Vifaa vya Kisasa

Tumetumia vifaa na teknolojia ya kisasa kuhakikisha huduma bora na za haraka.

Washirika Wetu

Hospitali, taasisi na mashirika tunayoshirikiana nao

Huduma ya Dharura 24/7

Tupo tayari kukusaidia wakati wowote wa dharura

Una maswali kuhusu huduma zetu kwa kampuni au taasisi?

Angalia sehemu ya Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara kwa majibu ya haraka kuhusu huduma, miundombinu ya kampuni, appointment na ushauri wa afya kwa taasisi binafsi.

Tunapokea Kampuni / Taasisi Binafsi

Huduma zetu zinapatikana kwa kampuni, taasisi binafsi na wateja wa kibinafsi kwa matibabu ya haraka, vipimo na matibabu ya kawaida.

Huduma kwa Kampuni

Tunashirikiana na kampuni binafsi kuhakikisha wafanyakazi kupata huduma za afya zinazoendelea.

  • Usimamizi wa afya ya wafanyakazi
  • Vipimo vya mwili na vipimo maalum
  • Huduma za dharura kwa timu yako
  • Ripoti za afya za kampuni

Huduma kwa Taasisi

Tunasadia taasisi binafsi kupata huduma za matibabu, vipimo na usaidizi wa afya kwa jamii yao.

  • Mpango wa afya maalum kwa taasisi
  • Huduma za kuwahifadhi wagonjwa
  • Uhifadhi wa rekodi za afya
  • Kadi za huduma za mara kwa mara
Maelezo: Tafadhali leta barua au mkataba wa kampuni/taasisi na kitambulisho wakati wa kutembelea kituo chetu. Kwa maelezo zaidi piga simu +255 234 567 890

Tunakaribisha Washirika

Jiunge nasi kukuza huduma bora za afya kwa jamii yetu

Vituo vya Afya

Tunakaribisha ushirikiano na vituo vya afya vingine kuboresha huduma za rufaa na ushauri kitaalamu.

Taasisi za Elimu

Ushirikiano na vyuo vya afya na taasisi za utafiti kwa ajili ya mafunzo na utafiti wa pamoja.

Kampuni / Taasisi Binafsi

Tunakaribisha mashirikiano na kampuni binafsi na taasisi kutoa huduma bora za afya kwa wateja na wafanyakazi wao.

Asasi za Kiraia

Tunakaribisha ushirikiano na asasi za kiraia na mashirika ya hisani kwa miradi ya afya ya jamii.

Kuwa Mshirika Wetu Leo

Pata fursa ya kushirikiana nasi kuboresha huduma za afya na kufikia jamii zaidi. Tunatoa mazingira ya kushirikiana, uwazi na faida za pamoja.

Faida za Ushirikiano
  • Fikra pamoja katika utoaji wa huduma za afya bora
  • Mafunzo ya kitaalamu na uhamisho wa ujuzi
  • Kushiriki rasilimali na vifaa vya kisasa
  • Ushirikiano katika miradi ya utafiti na maendeleo
  • Kufikia jamii pana zaidi kwa huduma bora za afya

Huduma Zetu

Tunatoa huduma mbalimbali za afya kwa weledi na ujuzi

Huduma ya Baba, Mama na Mtoto

Tunatoa huduma za afya ya uzazi, chanjo, na matunzo ya mama na mtoto kwa weledi mkubwa.

Vipimo vya Maabara

Maabara yetu ya kisasa inatoa vipimo mbalimbali vya afya kwa usahihi na haraka.

Huduma ya Dawa (Pharmacy)

Pharmacy yetu inatoa dawa za kawaida na za dharura zilizoidhinishwa na TMDA, pamoja na ushauri wa matumizi sahihi kwa kila mgonjwa.

Kliniki ya Kisukari na Shinikizo la Damu

Tibu na usimamizi wa ugonjwa wa kisukari na shinikizo la juu la damu.

Huduma za Upasuaji

Upasuaji mkubwa na mdogo unafanywa kwa vifaa vya kisasa na madaktari wenye uzoefu.

Vipimo vya Ultrasound

Vipimo vya ultrasound kwa ajili ya uchunguzi wa ndani wa viungo vya mwili.

Kuunganisha Mifupa

Huduma ya kuunganisha mifupa ilivunjika kwa ujuzi na usahihi.

Vipimo vya Ini na Figo

Vipimo vya kina vya ini na figo kwa ajili ya uchunguzi wa afya.

Ushauri wa Kiafya

Tunakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu afya na lishe bora.

0
Wagonjwa Waliohudumiwa
0
Wataalamu wa Afya
0
Masaa ya Kazi Kwa Siku
0
Siku za Mwaka

Kwa Nini Chagua Kituo Chetu?

Huduma 24/7

Tupo tayari kukuhudumia masaa yote ya siku na usiku, siku zote za mwaka.

Wataalamu Wenye Weledi

Timu yetu ina madaktari na wauguzi wenye uzoefu mkubwa na mafunzo ya kisasa.

Mazingira Salama

Kituo chetu kina mazingira tulivu na salama kwa ajili ya uponyaji haraka.

Vifaa vya Kisasa

Tumetumia vifaa vya teknolojia ya kisasa kuhakikisha huduma bora na za haraka.

Ukarimu na Upendo

Tunajivunia ukarimu, upendo na kuwajali wateja na wagonjwa wetu kwa kutoa huduma zetu kwa moyo wa dhati na kuhakikisha kila mtu anajisikia mwenye thamani.

Matangazo na Taarifa Mpya

Pata habari za hivi punde kuhusu afya na huduma zetu

MADHARA YA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI
MADHARA YA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI
18 May 2026 8

**Mimba za utotoni kwa wanafunzi huathiri vibaya afya, elimu na maisha ya kijamii, na mara nyingi husababisha mzunguko wa umaskini na kupoteza ndoto z...

Soma Zaidi
Karibu Blogu ya Kituo cha Afya Amani
Karibu Blogu ya Kituo cha Afya Amani
18 May 2026 134

Taarifa na ushauri wa afya kutoka kwa wataalamu wetu....

Soma Zaidi